CARPETS ZA KISASA
Hizi ni carpets za kisasa za 7D zinazosafishika kirahisi na kuboresha muonekano wa gari yako
ZIMETENGENEZWA KWA MATERIAL IMARA
Carpets hizi zinadumu kwa muda mrefu kwani zimetengenezwa kwa material imara ya Ngozi ya kiwandani.Ukinunua kutoka kwetu hutojutia kabisa
Pata Taarifa za bidhaa mpya na punguzo kila wakati kwa email yako👇