PRESSURE KUBWA
Mashine hii Ina Pressure Kubwa sana ya kutoa maji.Pia unaweza kuitumia kupuliza sabuni kwa umbali mkubwa na kwa ufanisi zaidi.Tazama mwenyewe kwa picha namna sabuni ilivosambaa kirahisi.
TAFADHALU WEKA MBALI NA WATOTO
Hairuhusiwi kuelekeza mashine hii kwenye mwili wa binadamu.Pressure yake kubwa inaweza kumdhuru mtu.Tazama hapo ilivochana box kwa haraka.Ukimaliza kutumia hifadhi sehemu salama.
TUMIA KWENYE VYANZO VYOTE VYA MAJI
Mashine hii unaweza kufunga kwa bomba au pia unaweza kutumia maji ya ndoo ya kawaida.Kumbuka Warranty ni miaka miwili.Tunaamini katika ubora wake
Pata Taarifa za bidhaa mpya na punguzo kila wakati kwa email yako👇